Habari mpendwa mteja, Leo napenda tugusie kidogo kuzitambua mbao zenye dawa (treated).
Wateja wengi hudhani mbao yenye dawa ni ile iliyo ya kijani kwa mwonekano lakini si sawa kwamba lazima iwe ya kijani Sana
JE? TUNATAMBUAJE MBAO YENYE DAWA (TREATED)
- MWONEKANO (UWIANO WA RANGI) -Mbao yenye dawa rangi yake inawiana, inakua na rangi moja na si lazima iwe ya kijani sana.
- RANGI WAKATI WA KUICHANA- Unapoichana mbao japo itakua nyeupe kutakua na dalili inayoonyesha dawa kuingia ndani yaani haitakua nyeupe kabisa bali itawiana na rangi ya nje kuonyesha kuingia kwa dawa wakati wa kuichemsha.
MAKOSA YANAYOFANYWA NA WAUZAJI WA MBAO
- UDANGANYIFU- Baadhi ya wauzaji wa mbao wamekua wakifanya udangayifu kwa kuweka rangi za ukili (mkeka) kwenye mbao na mbao kua na mwonekano wa kijani Sana na mteja huamini ndiyo mbao yanye dawa.
- WIZI- Baadhi ya wauzaji wasio waaminifu wamekua wakifanya wizi kwa namna tofauti tofauti na hili wateja wengi hulalamika.
JE? UTAPATAJE MBAO BORA YENYE DAWA (TREATED) BILA SHIDA YOYOTE
Karibu AGR TIMBER SUPPLY tunauza mbao za kupaua zenye dawa, na kwa aina zake zote pia milunda kwa Bei nafuu Sana
Tunapatikana Buguruni chama Dar es salaam
Piga simu: 0674 344 436
Email: agriparobart12@gmail.com
Comments
Post a Comment