Skip to main content

HUYU NDIYE MDUDU ANAYEKULA MBAO, JUA NAMNA YA KUMDHIBITI

     Habari mpendwa mteja, Leo nimekuletea upate kumfaham mdudu anayekula mbao na namna ya kumdhibiti.
        
        Mdudu huyu hupenda Kula mbao endapo hujaweka kizuizi chochote, wengi hutumia oil chafu au dudu killer kumdhibiti mdudu huyu lakini Bado huendelea kusumbua.
     
   .NAMNA YA KUMDHIBITI
       
      Njoo ununue mbao zenye dawa (treated) kwa Bei poa kwa bei ambazo kila Mtanzania atazimudu toka AGR TIMBER SUPPLY  

Tunapatikana Buguruni Chama Dar es salaam piga simu 0674 344 436

Comments

Popular posts from this blog

MBAO BORA ZA KUPAUA ZENYE DAWA TREATED KWA BEI POA

    Habari, AGR TIMBER SUPPLY tunapenda kukukaribisha mteja wetu mbao Bora za ujenzi/kupaua kwa Bei poa. Tuna mbao za 2x2, 2x4 na 2x6 pia tuna mbao pana za Fisher board ambazo ni 1x8 na 1x10 ambazo zote tunauza kwa Bei poa. Tunapatikana Buguruni Chama Dar Es salaam Mawasiliano: simu, 0674 344 436 Email: agriparobart12@gmail.com

MBAO ZA KUPAUA ZISIZOLIWA NA WADUDU (TREATED)

     Hizi ndizo mbao za kupaua (kenchi) zenye dawa (treated), mbao hizi huchanwa kwa size tofauti tofauti kulingana na uhutaji wa mteja na Kisha kuchemshwa kwa dawa (kutreat).       Hivyo Basi kutokana na mbao hi  kuchemshwa kwa dawa mdudu huahindwa kula maana dawa huingia mpaka ndani.        Utofauti uliopo kati ya mbao ya dawa na isiyo na dawa - mbao ya dawa inageuka rangu kuelekea kijani wakati isiyo na dawa ni rangi nyeupe - Mbao ya dawa hailiwi na wadudu na isiyo na dawa inaliwa.    Karibu AGR TIMBER SUPPLY kwa mbao za aina zote kwa Bei ya jumla na reja reja.   Wasiliana nasi simu: 0674 344 436