Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2019

HUYU NDIYE MDUDU ANAYEKULA MBAO, JUA NAMNA YA KUMDHIBITI

     Habari mpendwa mteja, Leo nimekuletea upate kumfaham mdudu anayekula mbao na namna ya kumdhibiti.                  Mdudu huyu hupenda Kula mbao endapo hujaweka kizuizi chochote, wengi hutumia oil chafu au dudu killer kumdhibiti mdudu huyu lakini Bado huendelea kusumbua.          . NAMNA YA KUMDHIBITI               Njoo ununue mbao zenye dawa (treated) kwa Bei poa kwa bei ambazo kila Mtanzania atazimudu toka AGR TIMBER SUPPLY   Tunapatikana Buguruni Chama Dar es salaam piga simu 0674 344 436

OFA YA MBAO KWA MSIMU HUU WA SIKUKUU YA PASAKA

  Habari, tunapenda kukuletea ofa ya punguzo la Bei kwa msimu huu wa sikukuu ya pasaka kwa 30% kwa MBAO za dawa (treated). Pia tunatoa ofa ya usafiri kwa wateja wa Dar es salaam kwa mzigo wa mbao kuanzia 100 PC's  Tunapatikana Buguruni Chama Dar Es salaam SIMU: 0674 344 436 email:agriparobart12@gmail.com

MBAO BORA ZA KUPAUA ZENYE DAWA TREATED KWA BEI POA

    Habari, AGR TIMBER SUPPLY tunapenda kukukaribisha mteja wetu mbao Bora za ujenzi/kupaua kwa Bei poa. Tuna mbao za 2x2, 2x4 na 2x6 pia tuna mbao pana za Fisher board ambazo ni 1x8 na 1x10 ambazo zote tunauza kwa Bei poa. Tunapatikana Buguruni Chama Dar Es salaam Mawasiliano: simu, 0674 344 436 Email: agriparobart12@gmail.com