Skip to main content

Posts

PUNGUZO LA BEI KWA MBAO NA MABATI

Recent posts

OFA MPYA! NUNUA MBAO UPUNGUZIWE MABATI KWA 5% ZAIDI YA BEI YA KIWANDANI

    Hujambo mpendwa mteja wetu, AGR TIMBER SUPPLY tunazidi kukuletea ofa nyingi kila kukicha na kwasasa tunakuletea ofa ya punguzo la Mabati kwa 5% yaani Bei ya chini zaidi ya kiwandani kwa wateja wanao nunua mbao kwetu.      Wengi tutajiuliza kwanini Bei ishuke zaidi ya kiwandani? Jibu ni kwasababu AGR TIMBER SUPPLY ni mawakala wakubwa wa mabati hivyo tunapewa punguzo kubwa kiwandani ambalo ndio nafaida yetu hivyo punguzo Hilo tunampa Kama ofa mteja anayenunua mbao kwetu.     Nipende kuwakatibisha sana wateja wetu tukaribie AGR TIMBER SUPPLY kwa bidhaa Bora, Imara na Huduma Bora.       Mawasiliano    Simu 0674 344 436 Email: agriparobart12@gmail.com

BEI ZA JUMLA KWA MSIMU WA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA!

Habari, tunaendelea kukujali mteja wetu na kukuona wa thamani kwa kukuletea of a baada ya ofa.      December hii tumekuletea ofa kabambe msimu wa sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwa kukupa punguzo kubwa kwa bidhaa zetu za mbao na mabati . Bei ya mbao zenye dawa Bado ofa zitaendelea zaidi na zaidi na zaidi endelea kufuatilia ukurasa huu na kuwa mteja wa AGR TIMBER SUPPLY daima. Contacts: 0674 344 436 Email:agriparobart12@gmail.com

OFA MPYA! TUNUA TUKUSAFIRISHIE BURE!!!!

  Habari ndugu mteja, AGR TIMBER SUPPLY tunazidi kulinda maslahi ya mteja wetu na kwakujali hilo tumeamua kukuletea ofa ya usafiri Bure ambayo itakua maalumu kwa wateja wa ndani ya mkoa wa Dar es salaam. Pamoja na ofa hii kuwahusu wateja wa mkoa wa Dar es salaam bado watu wa mikoani hatujawaacha pia tutaweza kukuchangia kiasi cha usafiri kulingana na idadi ya mzigo unaochukua. Location. Buguruni chama DSM Contact; 0674 344 436 Email.agriparobart12@gmail.com BOX. D.S.M

MBAO ZENYE DAWA KUSHUKA BEI!

      Habari mpendwa mteja, Leo tunakuletea bei mpya za Mbao kwa Mbao zilizopikwa kwa dawa (Treated)    Licha ya bei hizo kushuka pia kuna ofa ya usafiri ambapo mteja husafirishiwa mzigo bure mpaka sait kwa wateja wa mkoa wa Dar es salaam ma walioko mikoani kuchangiwa sehemu ya gharama za usafiri.       Pamoja na hayo AGR TIMBER SUPPLY tunazo ofa nyingi, na huduma zetu ni bora.   Karibu ujionee mwenyewe Tunapatikana Buguruni chama DSM           Simu: 0674 344 436 Email: agriparobart12@gmail.com

JIPATIE MBAO NA BATI BEI NAFUU BIDHAA TOKA AGR TIMBER SUPPLY

          Habari, AGR TIMBER SUPPLY  tunaendelea kukuletea bidhaa Bora na za uhakika,     Tunapenda kukupa taarifa mteja wetu kua kwasasa tuna vigae na mabati ya kisasa ambapo tunauza kwa bei poa za kiwandani, hivyo utaweza kununua mbao na mabati hapa hapa AGR TIMBER SUPPLY kwa bei poa                 Mbao zenye dawa (treated)                         Vigae aina zote  Bati aina zote Hizo ndizo ni bidhaa zinazopatikana AGR TIMBER SUPPLY Tunapatikana Buguruni Chama Dar es salama, Tanzania Tupigie simu 0674 344 436 Email:agriparobart12@gmail.com Karibu sana

ZIFAHAMU MBAO ZENYE DAWA (TREATED)

     Habari mpendwa mteja, Leo napenda tugusie kidogo kuzitambua mbao zenye dawa (treated). Wateja wengi hudhani mbao yenye dawa ni ile iliyo ya kijani kwa mwonekano lakini si sawa kwamba lazima iwe ya kijani Sana  JE? TUNATAMBUAJE MBAO YENYE DAWA (TREATED) MWONEKANO (UWIANO WA RANGI) -Mbao yenye dawa rangi yake inawiana, inakua na rangi moja na si lazima iwe ya kijani sana. RANGI WAKATI WA KUICHANA- Unapoichana mbao japo itakua nyeupe kutakua na dalili inayoonyesha dawa kuingia ndani yaani haitakua nyeupe kabisa bali itawiana na rangi ya nje kuonyesha kuingia kwa dawa wakati wa kuichemsha. MAKOSA YANAYOFANYWA NA WAUZAJI WA MBAO UDANGANYIFU- Baadhi ya wauzaji wa mbao wamekua wakifanya udangayifu kwa kuweka rangi za ukili (mkeka) kwenye mbao na mbao kua na mwonekano wa kijani Sana na mteja huamini ndiyo mbao yanye dawa. WIZI- Baadhi ya wauzaji wasio waaminifu wamekua wakifanya wizi kwa namna tofauti tofauti na hili wateja wengi hulalamika. KUKOSA UAMINIFU- wauza