Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2021

PUNGUZO LA BEI KWA MBAO NA MABATI

 Habari ndugu mteja wetu, karibu kwenye ofa zetu unaponunua mbao zenye dawa na mabati ya rangi Original kutoka kwetu. Unaponunua kwetu unapata ofa na zawadi kem kem ikiwemo÷     ✓ Misumari ya Bure 10kg     ✓ Waya kenchi za bure     ✓ Kofia na Valley za Bure     ✓ Usafiri Bure mpaka sait kwako Unaweza kututembelea ofisini kwetu kuona ubora wa badhaa zetu na kupata elimu na ushauri kuhusiana na ujenzi, Ofisi zetu ziko Buguruni Chama Dar es salaam. Wasiliana nasi kwa njia zifuatazo÷           Tupigie: 0674 344 436      Whatsapp: 0674 344 436 Instagaram : agrhardware Email: agrhardware12@gmail.com