Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2019

MBAO ZA KUPAUA ZISIZOLIWA NA WADUDU (TREATED)

     Hizi ndizo mbao za kupaua (kenchi) zenye dawa (treated), mbao hizi huchanwa kwa size tofauti tofauti kulingana na uhutaji wa mteja na Kisha kuchemshwa kwa dawa (kutreat).       Hivyo Basi kutokana na mbao hi  kuchemshwa kwa dawa mdudu huahindwa kula maana dawa huingia mpaka ndani.        Utofauti uliopo kati ya mbao ya dawa na isiyo na dawa - mbao ya dawa inageuka rangu kuelekea kijani wakati isiyo na dawa ni rangi nyeupe - Mbao ya dawa hailiwi na wadudu na isiyo na dawa inaliwa.    Karibu AGR TIMBER SUPPLY kwa mbao za aina zote kwa Bei ya jumla na reja reja.   Wasiliana nasi simu: 0674 344 436